-
Upandaji Miti, Mkoa wa Dodoma

Smart ccf ikiongozwa na mwenyekiti Ndugu Mariam Mohammed, imeshiriki zoezi la upandaji miti katika shule ya sekondari Lukundo. Wadau mbalimbali mbali wameshiriki zoezi hilo ikiwemo Redcross mkoa wa Dodoma pamoja na Exim Bank ,
-
Smart CCF activity report – December 2023
http://smartccf.or.tz/wp-admin/post.php?post=911&action=edit
-
Laghangareri VLU and CCRO Support

The project is conducted at The Laghangareri Village in Mang’ola Ward aiming at providing VLU and CCRO through cost sharing mechanisms. The villagers will contribute only 20,000 for stationaries while the NGO will cover the other cost for experts and technology to be used
-
Je Mtoto anaweza kumiliki Ardhi – Tanzania?

“Mtoto chini ya Miaka 18 haruhusiwi kumiliki Ardhi bali kwa usimamizi wa walezi” Mr. Balela Mtondo ; Mkurugenzi wa Makampuni ya Upangaji na Upimani, SPV na SPV GeoICT Co.Ltd Kabla ya kumfikiria mtoto hebu tuanzie hapa, Nchini Tanzania, ili uweze kumiliki ardhi kuna masharti yafuatayo Lazima uwe Mtanzania Umri wako lazima uwe miaka 18 na
-
Elimu ya Ardhi kwa Serikali ya Kijiji – Laghangareri, Wilaya ya Karatu

“Viongozi wakielewa vyema, Hurahisisha kufikisha huduma kwa wanachi Derick Wilking – Mkurugenzi wa Miradi (Smart CCF) Leo Tarehe 15.08.2022, Mkurugenzi wa Miradi, Ndugu Derick Wilking alifanya Mkutano na serikali ya kijiji cha Laghangareri kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Karatu ili kuweza kutoa elimu kwa viongozi wa serikali ya kijiji. Mtaalamu alianza kwa kufafanua umuhimu wa
-
Je wajua Aina za Ardhi – Tanzania

‘Kabla hujanunua ardhi, Ni vyema kujiridhisha inaangukia katika kundi gani la umiliki’ By TP. Alpha Mangula Umakini katika kuuza na kununua ardhi nchini Tanzania imekuwa ni zoezi ambalo linaonekana kuwa rahisi tofauti na vile inavyotakiwa kwa matakwa ya kisheria. Mara nyingi wananchi wamekuwa wakiuziana ardhi na huwatumia viongozi wa mitaa kama mashahidi wa mauziano hayo.
-
Malekchand Land use Preparation

The project covers preparation of land use for a village with population around of around 10200 People
-
Mang’ola Barazani

Preparation of Land use plans and offering of CCRO at Mang’ola Barazani, Karatu District Council






