“Mtoto chini ya Miaka 18 haruhusiwi kumiliki Ardhi bali kwa usimamizi wa walezi”

Mr. Balela Mtondo ; Mkurugenzi wa Makampuni ya Upangaji na Upimani, SPV na SPV GeoICT Co.Ltd

Kabla ya kumfikiria mtoto hebu tuanzie hapa, Nchini Tanzania, ili uweze kumiliki ardhi kuna masharti yafuatayo

  1. Lazima uwe Mtanzania
  2. Umri wako lazima uwe miaka 18 na kuendelea

Haya ndio masharti makubwa mawili, sasa baada ya hapo, muombaji wa umiliki atatakiwa kuthibitisha hayo mawili yalobainishwa

Suala la Utanzania ; Kwa mujibu wa Katiba, nchi yetu haina uraia pacha, hivyo basi anayeruhusiwa kumiliki ardhi ya Tanzania lazima awe mtanzania; hii ina maanisha ukiamua kuwa na uraia wa nchi nyingine unapoteza haki ya kumiliki ardhi Tanzania. Ili kuthibitisha uraia wako, Mkazi atatakiwa kuwasilisha vifuatavya

  • Hati ya Kusafiri (Passport)
  • Kitambulisho cha Utaifa

Kwa sasa msisitizo umewekwa katika kitambulisho cha Taifa, ingawa wakati mwingine unaweza kuwasilisha kadi ya kupigia kura wakati unatafuta kitambulisho cha taifa. Hapo kale mkazi ilimbidi akaape mahakamani kuthibitisha uraia wake kama hana nyaraka

Upande wa Umri: Mkazi mwenye umri zaidi ya miaka kumi na nane atakuwa ana haki ya kumiliki ardhi kwa kupewa nyaraka stahiki.

Sheria inamtaka mkazi mwenye umri chini ya miaka kumi na nane, yaani mtoto kumiliki ardhi chini ya uangalizi wa mlezi mpaka hapo atakapotimiza miaka stahiki. hivyo mtoto anaweza kumiliki kiwanja chini ya usimamizi wa wazazi wake.

Kwa maana hiyo ni lazima mmliki awasilishe cheti cha kuzaliwa ili kutibitisha umri wa muombaji

Makala zifuatazo zitatoa maelekezo namna makampuni, Taasisi za dini na nyinginezo zinavyoweza kumiliki ardhi

Asanteni

Tanzania Weather Outlook: What to Expect This Season (May โ€“ August 2025)
Prepared by Amos Pendael

Based on the latest reports from the Tanzania Meteorological Authority (TMA) and published in the Daily News on 23rd May 2025, Tanzania is experiencing notable weather patterns influenced by ongoing climate change. These patterns affect communities, agriculture, and daily activities across the country.

Forecast for June to August 2025 (JJA Season):

The TMA forecasts that most regions in Tanzania will experience nights and early mornings that are warmer than usual during this period. Particularly in high-altitude areas such as Njombe, Mbeya, and Iringa, minimum temperatures may drop below 6ยฐC. Meanwhile, the northern coastโ€”including Dar es Salaamโ€”and the islands of Unguja and Pemba are expected to have warmer minimum temperatures, ranging between 16ยฐC and 24ยฐC.

Although the JJA season is traditionally dry and cooler, occasional light rains are predicted, especially in the Lake Victoria Basin (Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, Mara) and coastal areas like Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Mtwara, and Lindi. Winds from the southeasterly direction are expected to be moderate across most parts of the country, with stronger gusts possible along the coast and inland during June and July. Additionally, westerly winds from the Congo rainforest could increase chances of rain in western Tanzania.

Impacts and Recommendations:

  • Agriculture: The sporadic rains can benefit farmers planting vegetables and crops in wetlands and rain-fed areas. However, unseasonal heavy rains may cause flooding and crop damage, so farmers should remain alert and prepared.
  • Health: Elevated night temperatures may reduce the cold spells typically associated with this season, potentially lowering risks of cold-related illnesses. Nevertheless, dust and strong winds can cause eye and respiratory issues.
  • Safety: Strong winds and occasional rains require caution, especially along the coast and flood-prone regions. Communities should stay updated on weather warnings and take appropriate precautions.
  • Water and Livestock: Dry conditions are forecasted in many areas, emphasizing the need for water conservation and careful management of pastures and livestock.
  • Maritime Activities: Those using the sea should monitor daily weather updates to ensure safety, particularly during windy conditions.

Public Advisory:

The Tanzanian government and relevant authorities will continue monitoring weather developments and providing timely updates. The public is advised to stay informed through official channels and prepare accordingly to mitigate the impacts of changing weather patterns.

This update has been prepared by Amos Pendael, based on information from the Tanzania Meteorological Authority (TMA) and the Daily News, 23rd May 2025.

,


One response to “Je Mtoto anaweza kumiliki Ardhi – Tanzania?”

  1. This is amazing ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *