‘Kabla hujanunua ardhi, Ni vyema kujiridhisha inaangukia katika kundi gani la umiliki’

By TP. Alpha Mangula

Umakini katika kuuza na kununua ardhi nchini Tanzania imekuwa ni zoezi ambalo linaonekana kuwa rahisi tofauti na vile inavyotakiwa kwa matakwa ya kisheria. Mara nyingi wananchi wamekuwa wakiuziana ardhi na huwatumia viongozi wa mitaa kama mashahidi wa mauziano hayo. Kutokana na kukua kwa miji na ongezeko la watu, Maeneo mengi yamekubwa na changamoto ya kuuzwa mara kadhaa au wananchi kuuziwa maeneo ambayo yametengwa kwa matumizi maalumu tofauti na makazi au hayafai kabisa kumilikiwa na mwananchi.

Tanzania, Ardhi imegawanywa katika makundi Matatu; Ardhi Kijiji (Village land), Ardhi ya Jumla (General Land), Ardhi ya Hifadhi (Reserved Land). Tujadili aida moja kwenda nyungine

ARDHI YA KIJIJI hii ni ardhi ambayo ipo chini ya kijiji, Ardhi hii mamlaka yake yamekasimishwa katika halmashauri ya kijiji (Village Council); Kwa Mujibu wa sheria, Halmashauri ya Kijiji ina jukumu la kusimamia na kuratibu matumizi ya kila kipande cha ardhi kilichopo ndani ya mipaka ya kijiji. Sheria inazitaka halmashauri za kijiji kushirikiana na Halmashauri za Wilaya Kuandaa Mipango Bora ya Matumizi ya Ardhi na kila mmliki wa ardhi ya kijiji kuwa na nyaraka ya umiliki wa ardhi ambayo huitwa Hati Miliki ya Kimila (Customary Right of Occupance – CCRO ).

Ili kuandaa Matumizi Bora ya Ardhi, Ni lazima kijiji kiwe kimepata cheti cha kijiji ambacho hutolewa na kamishna wa Ardhi baada ya kuhakikisha mipaka ya Kijiji imepimwa na ramani za upimaji wa kijiji umeidhinishwa. Lengo la kuandaa matumizi bora ya ardhi ni kutenga matumizi yanayoendana kuwa mahali pamoja ni hii husaidia kuepusha migogoro isiyo kuwa ya lazima.

ARDHI YA JUMLA hii ni ardhi iliyopo maeneo ya Mijini, Ardhi hii husimamiwa na Mamlaka za Upangaji kama vile halmashauri za wilaya, Miji, Manispaa na Majiji. Kwa kawaida maeneo haya hutangazwa kama maeneo ya mpango ‘ Decralation of Planning Area’ kwa maana hiyo kutokana na kukuwa kwa miji wakati mwingine maeneo ya vijiji huchukuliwa na kutangazwa kuwa maeneo ya mjini.

Maeneo ya Mpango Huandaliwa Mipango Kabambe ‘Master Plan’ na kufuatia mipango ya kina ‘detailed planning schemes’ na hatimaye hupimwa kabla mwananchi hajapewa nyaraka ya kumiliki ardhi ambayo huitwa Hati Miliki ya Kiwanja (Certificate of Occupancy); Kila kiwanja humilikiwa kwa kutegemea matumizi yaliyopangwa (Makala zinazofuata zitaeleza kwa kina aina za umili wa ardhi)

ARDHI YA HIFADHI hii ni ardhi ambayo inamalikiwa na mamlaka maaulumu za uhifadhi, Mfano TANAPA, TAWA, Uhifadhi wa Mabonde ya Mito, Mamlaka za Misitu na nyinginezo. Ardhi hizi huwa haziruhusiwi kutumika kwa matumizi ya makazi, kwa maana hiyo ukinunua eneo la hifadhi ya mikumi ni sawa na kupoteza fedha na aliye kuuzia anakuwa na hatia

Watu wengi wamedhulumika kwa kuto kuzingatia mambo haya madogo lakini yana tija

Kwa leo tuishie hapa, Kama una swali au maoni au ungependa tuzungumizie kitu gani usisite kutuandikia na tutatlifanyia kazi, Asante

Tanzania Weather Outlook: What to Expect This Season (May โ€“ August 2025)
Prepared by Amos Pendael

Based on the latest reports from the Tanzania Meteorological Authority (TMA) and published in the Daily News on 23rd May 2025, Tanzania is experiencing notable weather patterns influenced by ongoing climate change. These patterns affect communities, agriculture, and daily activities across the country.

Forecast for June to August 2025 (JJA Season):

The TMA forecasts that most regions in Tanzania will experience nights and early mornings that are warmer than usual during this period. Particularly in high-altitude areas such as Njombe, Mbeya, and Iringa, minimum temperatures may drop below 6ยฐC. Meanwhile, the northern coastโ€”including Dar es Salaamโ€”and the islands of Unguja and Pemba are expected to have warmer minimum temperatures, ranging between 16ยฐC and 24ยฐC.

Although the JJA season is traditionally dry and cooler, occasional light rains are predicted, especially in the Lake Victoria Basin (Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, Mara) and coastal areas like Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Mtwara, and Lindi. Winds from the southeasterly direction are expected to be moderate across most parts of the country, with stronger gusts possible along the coast and inland during June and July. Additionally, westerly winds from the Congo rainforest could increase chances of rain in western Tanzania.

Impacts and Recommendations:

  • Agriculture: The sporadic rains can benefit farmers planting vegetables and crops in wetlands and rain-fed areas. However, unseasonal heavy rains may cause flooding and crop damage, so farmers should remain alert and prepared.
  • Health: Elevated night temperatures may reduce the cold spells typically associated with this season, potentially lowering risks of cold-related illnesses. Nevertheless, dust and strong winds can cause eye and respiratory issues.
  • Safety: Strong winds and occasional rains require caution, especially along the coast and flood-prone regions. Communities should stay updated on weather warnings and take appropriate precautions.
  • Water and Livestock: Dry conditions are forecasted in many areas, emphasizing the need for water conservation and careful management of pastures and livestock.
  • Maritime Activities: Those using the sea should monitor daily weather updates to ensure safety, particularly during windy conditions.

Public Advisory:

The Tanzanian government and relevant authorities will continue monitoring weather developments and providing timely updates. The public is advised to stay informed through official channels and prepare accordingly to mitigate the impacts of changing weather patterns.

This update has been prepared by Amos Pendael, based on information from the Tanzania Meteorological Authority (TMA) and the Daily News, 23rd May 2025.



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *